Mtoto aliyefanyiwa upasuaji wa tumbo arudi Ghana salama

Mtoto mmoja kutoka Ghana ambaye alizaliwa viungo vyake vya tumbo vikiwa nje amerudi nyumbani baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Uingereza.
Mnamo mwezi Juali iliripotiwa kwamba mtoto mwenye umri wa miaka 3 Ethan Suglo alisafiri hadi nchini Uingereza baada ya fedha kuchangishwa ili kumwezesha kufanyiwa upasuaji huo wa kuokoa maisha yake.

Post a Comment